Wednesday, September 12, 2012

Vituko vya Mastaa.. Chris Brown achora tattoo mpya ya mwanamke aliyepigwa uso lakini akataa kuwa ni Rihanna


Rihanna akiwa amevimba uso baada ya kupigwa na aliyekuwa mpenzi wake Chriss Brown mwaka 2009

Tatoo mpya ya Chris Brown ikiwa inaonekana kwa karibu na kuonyesha mwanamke aliyevimba uso baada ya kipigo



Chris Brown akiwa na tatoo yake mpya shingoni

No comments:

Post a Comment