Wednesday, November 30, 2011

BREAKING NEWS…. DAKTARI WA MICHAEL JACKSON JELA MIAKA 4

Dr Conrad Murray alihukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 4 jana tarehe 29/11/2011 kwa kosa la Kusababisha Kifo cha gwiji muziki wa pop  Michael Jackson. Atatumikia kifungo chake katika jela ya  Los Angeles County. 

No comments:

Post a Comment