Thursday, March 29, 2012

Hizi ni ndoa au ndoana? so outdated....Tuache

 
Ohh my God!  How can you treat someone’s daughter, sister, mother like this?!! What do some husbands think of their wives?! Can you imagine these are the photos of women whom have been brutalized by their husbands? It happened here in Africa!!! How sad! Will single women ever think of getting into marriage union?!! I am just wondering and thinking loud…. IT IS SO OUTDATED.. TUACHE MAMBO YA KUPIGA WANAWAKE….. Ila nao siku hizi nasikia wameamka wanadunda waume zao pande za huko Kenya… yasifike na huku Tanzania tu, au mpo wanaume mnaopigwa? Msijifiche jitokezeni kwani wanasema mficha maradhi kifo humuumbua….

6 comments:

  1. Ohhh noo!! this is really sad!! how could someone do this to a fellow human being?!

    ReplyDelete
  2. Hivi sehemu kama hizi serikali huw inakuwa hakuna? imetokea wapi hii? ina ni suahmba uliopitiliza!! unampiga mwinzio hivyo halafu keshokutwa akipona unamuomba dudu??! looh

    ReplyDelete
  3. duuh ...mwanamke hapigwi kwa mangumi bwana, anapigwa na madorali $$$$

    ReplyDelete
  4. hata mm pia nashangaa kwanini umpige mwanamke kiac hiki kama umemchoka mwambie arudi kwao,yaani mm mwanaume akinipiga hivi aamue tu kuachana na mm kabisa kwasababu kitakachofuata lazima nimvizie tukiwa tumelala niondoke na kende lake moja loh cwezi kukubali kubaki na alama mm mwenyewe lazima na yy nimuweke ukumbusho!!! MADUDE YENU YA KIJANI WANAUME WOTE HUMU DUNIANI

    ReplyDelete
  5. Serikali ipo unaenda Polisi unaombwa imalizwe nyumbani, unagoma kesi inaenda mahakamani huruma inakuja pale unapowaza kuhusu watoto na kitu cha kwanza anapoteza kazi kwa kuwa na kesi ya jinai. Na ukifuta kesi unapata kipigo cha hatari kabisa. Moyo wa mwanamke umeumbwa na huruma sana akisha kupiga hivyo analala na huwezi fanya chochote for the sake of ur kids akishtuka usiku anataka mtambo na kwa vile umechoka kwa kipigo unatulia tu anajihudumia. This is from experience my dear I've everything respectable job that pays me well but I can not do anything about it at one point I left the house and something terrible happened and my kids and are still psychologically affected by that incident. No one understands me only God do.

    ReplyDelete
  6. mdau pole sana, umeongea kwa uchungu sana. yaani wanawake wako kwenye mtihani mkubwa sana hasa pale wengi wao wanapoamua kuvumilia mateso yote kwa ajili ya watoto wao!

    ReplyDelete