Tuesday, November 8, 2011

DOCTOR WA MAREHEMU MICHAEL JACKSON AKUTWA NA HATIA


Aliyekuwa  Daktari binafsi wa Michael Jackson Dr Conrad Murray mwenye umri wa miaka 57, jana alitiwa hatiani kwa kosa la kusababisha kifo cha Michael Jackson bila Kukusudia, Dr Murray atabakia mahabusu mpaka siku yake ya hukumu inayotegemewa kutolewa mwezi huu tarehe 29, DR  Murray anategemewa kutumikia Kifungo kisichozidi miaka minne na kupoteza leseni yake ya udaktari.

No comments:

Post a Comment