Friday, November 11, 2011

JOSEPH PAYNE ANA KWA ANA NA JK

Je wamkumbuka mshiriki wa bongo star search mwaka jana Joseph Payne ambaye anasifa ya kuongea kiswahili fasaha na kushuka mistari ya nyimbo nyingi za bongo fleva, Hapa anaonekana ana  kwa ana na Rais Jakaya Kikwetwe mara baada ya kukutana wakati wa ziara ya Mwana wa Mfalme jijini Dar, Nadhani Joseph alikuwa akishusha mistari ya goma la manzese kama alivyowavutia watanzania katika Fainali za Bongo Star Second Chance Mwaka huu.

2 comments:

  1. hhaahah! mimi naukubali sana huu mtambo wa kizungu, ni mbongo kuliko wabongo wenyewe! hapo inawezekana kabisa alikuwa anashusha mistari ya bongo flava.jamaa pia ana mashule yake na ni ofisa wa visa pale ubalozi wa UK bongo

    ReplyDelete
  2. BSS walikuwa na chuki naye Binafsi tu, lakini wasahili wanasema roho mbaya hailipi mi namlaani sana Master "J" pamoja na Wenzake walivyombania Joseph lakini jamaa ni Mkali hiyo haina ubishi sasa sijui walitaka wagawane nae mshiko

    ReplyDelete