Picha yao ya birthday November 18th 1984. |
Wale wakali wa Muziki toka Nigeria Peter and Paul Okoye, Maarufu kama P-SQUARE, Jana tarehe 17/11/2011, waliadhimisha siku ya kuzaliwa kwao, Birthday, kwa kutimiza miaka 30.Katika kuadhimisha sherehe hiyo wakali hao wa P-Square walisherehekea kwa Kutoa picha yao walipokuwa wakisherehekea birthday wakiwa na miaka Mitatu. Kama kumbukumbu kwa Mashabiki na wanafamilia,
Picha ya birthday November 17th,2011 |
No comments:
Post a Comment