Sugu alivyomkaribisha Mbowe: “Namleta kwenu mchizi wangu ambaye nitafanya naye kolabo very soon.” Kumbe mchizi mwenyewe ni mheshimiwa, Free Man Mbowe na alipopanda, mbunge huyo wa Hai, Kiongozi wa upinzani bungeni na Mwenyekiti wa Chadema,akapaza bonge la swaga: “Dar es Salaam yoooooooo!” Shangwe zikaongezeka
![]() |
Sista P alikuwepo |
![]() |
Ujumbe toka kwa mashabiki |
![]() |
Nyomiiiii |
![]() |
Wananiita Suguuuu , nani? sugu sugu sugu. |
![]() |
Soggy |
![]() |
Stage |
![]() |
Zay B bado yuko gado, gado |
No comments:
Post a Comment