Mwaka huu wasaniii wa Tanzania waliendela kufanya vibaya katika tuzo za kimataifa sio Tanzania pekee tatizo hilo limeikumba na Uganda as well. Tuzo za Kimataifa ziko nyingi lakini zinazojulikana zaidi katika ukanda wetu ni Chanel O music awards, MTV Mama awards na KORA ambayo kwa sasa imepungua umaarufu hasa baada ya kutokufanyika kwa muda mrefu.
Kuna sababu nyingi zinazosababisha wasanii wa kitanzania kutokuoneka achilia mbali kushinda, tunatatizo la kutokuwepo hata kwenye nominations, 2009 Ay na Shaa ndio pekee waliokuwepo kwenye Nominations za MAMA awards na AY huyohuyo fet Mwana FA pamoja black Rhino ndio walituwakilisha katika Chanel O video awards. Kutokuwepo Kwa wasanii kunasababishwa na wasanii wenyewe pamoja na Video zisizo na ubora kwani hapa Tanzania ni Makampuni machache yanaweza ku-produce video ambazo zinakubalika kimataifa. Mwaka huu ni AY , Shaa na Cpwaa pekee ndio angalau wamepata nomination katika Tuzo za Chanel O
According to organizers wanalalamika kuwa wao huwa watoa matangazo ya kualika entries ambazo ndizo zinazotumika kwenye nominations na kuna ukweli kuwa most of our artist hawako organized, kwani hizi ni kazi za management companies na wengi wa wasanii wetu hawana managers at all.
Another issue ni ukweli kuwa waweza kuwa nominated lakini kushinda kunahitaji kura . Hili ni tatizo linaloenda mpaka kwenye reality shows kama Tusker project fame, Big Brother, watanzania hawana kawaida ya kupiga kura through SMS or online, Mfano tuzo za Channel O, 70% ni public vote na 30% ni judges, Wasanii wetu hawafanyi Campaigns za kotosha kushinda once wakiwa Nominated look at Kenya kila siku Nameless, Amani, Wahu and company wanakuwa wanaratiba kuanzia Vituo vya redio , televisions na They made tour to meet fans haswa mashuleni ambapo matokea yake yameonekana kwa wao kushida tuzo nyingi compare to our artist
Tatizo la idadi ndogo ya watu on our block limeweza kuepukwa this time, records zinaonyesha kuwa Nigeria na Afrika kusini wana-vote zaidi ya kura zote za Afrika Mashariki combined, uzuri kuna categories za Afrika Mashariki ambazo our artist wanatakiwa washinde.
Muhimu zaidi ni kwa Our artist kufahamu umuhimu wa Tuzo za Kimataifa for the Country and the artist.Ukiwa mshindi/Nominee of say MTV award you are marketable, yoyote ambaye anataka Tanzanian artist kwa ajili ya performance kwenye event yoyote duniani atapendelea zaidi kuwa na Artist ambaye either alishinda awards za kimatifa au alipata nomination cause inaonyesha how big and successful is the artist.
For Nominated artist huwa wanapata nafasi ya kushiriki kwenye awards ceremonies ambapo wanapata nafasi nzuri na adimu ya kukutana na label boses and other people on music industry, so unaongeza connections zaidi na kufahamika kote duniani.
Wining a prestigious title like “MTV mama male artiste of the year award” is prestigious enough for a bright artist to use to gain fame and fortune but all in all mafanikio katika maisha kwa yeyote yanategemea na your own effort.
No comments:
Post a Comment