|
picha na jeneza lililobeba mwili wa Mwandishi marehemu Mwangosi aliyeuwawa mwezi uliopita huko Iringa. |
Serikali iliunda Tume ya kuchunguza mauaji hayo na kw aupand ewa pili chama cha Waandishi wa Habari nao waliunda nao Tume yao kuchunguza kifo cha mwandishi huyo. Ripoti za uchunguzi huo kwa pande zot embili zimetolewa jana na kuzisoma zaidi gonga hii link hapa..
Ripoti za uchunguzi wa kifo cha Mwangosi kutoka MCT na TEC
No comments:
Post a Comment