Friday, December 23, 2011

POLENI WANA DAR ES SALAMA

Hizi ni baadhi ya picha za matokeo ya maafa ya mafuriko yaliyotokea Jijini Dar Es Salaam, darbase inatoa pole kwa wote waliopatwa na janga hili, Zaidi ya yote tunatoa mwito kwa wasamaria wema kuendelea kutoa misaada ya hali na mali wa walipatwa na maafa. Poleni sana wana Dar Es Salama






No comments:

Post a Comment