Veena Malik Mcheza sinema wa Kike maarufu zaidi nchini Pakistan anatafutwa kwa udi na uvumba na makundi ya kidini yenye msimamo mkali wakitaka akatwe kichwa, kwa kosa la kupiga picha za uchi katika jarida moja la wanaume nchini india FHM katika toleo lake la mwezi December, Veena amejitetea kwa kudai kuwa hajapiga picha hizo bali ni kazi ya wa wataalamu wa photo shop na ameenda mabli zaidi kwa kumwomba mwanasheria wake alifungulie kesi ya madai jarida hilo kwa kumwaribia jina, Mpiga picha wa FHM anadai kuwa picha hizi zilipigwa kwa ridhaa yake Veena ambaye anatoka taifa lenye msimamo mkali wa dini na hivyo kujiweka katika hali tete kulinda maisha yake
No comments:
Post a Comment