Monday, January 9, 2012

BEYONCE AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE - Ivy Blue Carter


Baada ya uvumi mwiingii kuwa Beyonce amejifungua wiki iliyopita, hatimaye Mrembo Beyonce amefanikiwa kujifungua mtoto wa kike aitwae Ivy Blue Carter, kwa njia ya upasuaji siku ya Jumamosi tarehe 7 Januari,2012 katika hospitali ya Lenox Hill huko Newyork.
Rihana aliweka alithibitisha kuzaliwa kwa mtoto huyo Jana Asubuhi kupitia Mtandao wa Tweeter . Congrats Jay Z and Beyonce
                                             

No comments:

Post a Comment