"Haloo, hapo ni Makumbusho ya Taifa?"
OFISI: "Ndio, tukusaidie nini?"
OFISI: "Ndio, tukusaidie nini?"
JAMAA: "Ok, naomba mnikumbushe mwaka juzi saa yangu niliipoteza wapi?"
OFISI: "Pumbavu! Hiyo sio kazi yetu..!"
OFISI: "Pumbavu! Hiyo sio kazi yetu..!"
JAMAA: "Sasa makumbusho mnakumbusha nini?"
OFISI: "Tunahifadhi mambo ya zamani."
JAMAA: "Ahaa... kumbe saa yangu mtakuwa nayo.._!
*****************************
MLEVI mmoja alioa mke. Mkewe alikuwa hajatulia hata kidogo.
Siku moja mkewe akiwa anajivinjari na msela, MLEVI akarudi home ghafla.
mkewe akamwambia yule msela Usiondoke, lala hivo hivo mume wangu mlevi
hatagundua.......Msela akalala kweli........basi mlevi akapanda
kitandani wote watatu wakalala.....
Baada ya muda kidogo mlevi akagutuka, akagundua utofauti hapo kitandani,
akahesabu miguu na kuona ipo sita, akamshtua mkewe,....."mke wangu,mbona
miguu ipo sita nani kalala hapa??"....
Mkewe akamjibu kwa ukali,.toka hapa na pombe zako,
miguu sita itoke wapi?
hebu shuka kitandani uhesabu vizuri..!
Mlevi akashuka, akahesabu..
MOJA..MBILI..TATU..NNE....AHAA KUMBE
KWELI NILIKOSEA KUHESABU,SAMAHAN MKE WANGU!!!

**************************
Bibi akauliza...'hapa kuna nini? 'Mjukuu akamjibu,chifu anagawa maembe',
Bibi naye akaunga foleni, Chifu ktk kupita kwenye foleni akamuona bibi akamuuliza ''na wewe bibi upo huku? Bibi akajibu ''tena mimi ni stadi wa kunyonya na kuramba mpaka kokwa''
******************************
CRAZY WIFE.
Ilikuwa mida ya usiku, baada ya kula chakula cha lala salama mke akamwambia mumewe
MKE: Honey, leo tubadilishe style. Kila siku style hiyo hiyo!
(Mume kwa furaha akajibu)
MUME: Kama ulojuwa mke wangu,jambo hilo lilikuwa mawazoni mwangu. Sasa leo tutafanya style gani?
MKE: Wewe utaosha vyombo, mimi niangalie TV
No comments:
Post a Comment