Monday, April 16, 2012

RAIS ZUMA ATANGAZA KUFUNGA NDOA

 Rais wa Afrika ya kusini Mh. Jacob Zuma anategemewa kuoa mke wa nne Bi.Gloria Bongi Ngema pichani.Zuma anategemea kufunga ndoa kwa mila za kabila la kwao kijiji kwake, Taarifa toka msemaji wake zinaeleza kuwa gharama za ndoa hiyo zitalipwa na zuma mwenyewe na serikali ya afrika kusini haitahusika na gharama hizo, rais Zuma majuzi alitimiza miaka sabini na kusherehekea kwa ngoma bofya chini kuona Zuma mwenye watoto 20 akiserebuka kama kijana mbichi.

1 comment: