breaking News,Hukumu ya Kesi ya Ubunge jimbo la Ubungo,John Mnyika Ashinda Kesi ya Ubunge
John Mnyika mbunge wa Ubungo, Ameshinda Kesi ya Matokeo ya Ubunge baada ya mahakama kutupilia mbali Malalamiko yote na kuamuru Mlalamikaji Hawa atalipa gharama zote za kesi.
No comments:
Post a Comment