Thursday, May 24, 2012

MAISHA NI SAFARI NDEFU....

 Enzi hizo za miaka yao ya ujana anaonekana Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mark Mwandosya, wakiwa ndani ya chombo cha usafiri yaani washikajii...................Naushikaji huo i am brotherhood and respect umeendelea hadi hivi majuzi ambapo Rais Jakaya Kikwete alimwapisha Waziri Mark Mwandosya kama waziri asiyekuwa na wizara maalumu, Picha ya chini Rais Kikwete akimsaidia Mark Mwandosya kushuka ngazi haswa ikizingatiwa kuwa Mark Mwandosya amekuwa katika kipindi kirefu cha ugonjwa, Mungu Ibariki Tanzania na Hili ni somo zuri tu kwa kizazi cha leo kujifunza toka kizazi cha Jana  kwamba Maisha ni Safari ndefu.


No comments:

Post a Comment