MKE WA MTU SUMU, MWANAUME MMOJA HUKO KENYA ANASIA WAKATI AKIFANYA MAPENZI NA MKE WA MTU BAADA YA MUME KUTEGA ULIMBO (AKA BLACK MAGIC)
Hii imetokea
huko Kenya majuzi na video yake kuwekwa katika mtandao wa youtube, Mwanaume
mmoja wa kikenya mwenye blue jeans and Tshirt nyeupe alikuwa na wasiwasi kuwa mke wake
anamahusiano nje ya ndoa ndipo alipo amua kwenda kwa sangoma ambaye alimpatia
dawa (ulimbo)ambayo alimuwekea mkewe pasipo kujua, siku ya siku mke akenda
nyumba ya wageni pasipo na shaka yoyote na ndipo alipokutana na lijamaa lake la
kando na wakati wakiendelea na mavituzi ngafla wakashangaa kitu kimeng”ang”ania
mithili ya mbwa wakiwa kwenye majambozi, kadhia hii ilichukua masaa kadhaa na
pale walipoomba msaada ndipo watu wengi waliposogelea eneo la tukia , polisi
waliwasili katika eneo hilo lakini haikusaidia lolote ndipo ilipobidi mwenye
mali yaani mume aitwe na wazee na mwizi wake akakubali kutoa fidia kubwa ,
mchungaji aliitwa na sala ikaendelea mpaka walipoachana,......inaonekana kama
ni hadithi vile embu endelea kuangalia video hii hapo juu ujionee mwenyewe.
No comments:
Post a Comment