Wednesday, May 23, 2012

P.DIDY ALAMAISHA NA MA HAWARA ZAKE


P.Diddy  amebahatika kuwa na watoto na wanawake watatu, na kati ya hao Kim Porter ndio kama mke japo hawajafunga ndoa, katika hali ya kustajaabisha Didy anaonekana kuwa na mahusiano ya muda mrefu na mwanamuziki Cassie, na kutakana na habari ambazo zimevuja yaonekana kwa sasa Diddy yupo Cannes, Ufaransa  ambapo yupo na wadada wote wawili kila mmoja kwa wakati wake, na inaoneka these two women don't mind sharing one man . Ivi katika dunia hii ya leo mambo haya yanawezekana?

No comments:

Post a Comment