This is wema new house, Wema amehamia katika nyumba hiyo iliyoko maeneo ya kijitonyama Dar Es Salaam hivi karibuni, Ameamua kuwaalika baadhi ya marafiki na wanahabari kuwaonyesha mafanikio yake katika kazi mbali mbali, Nyumba hiyo inavutia sana hasa katika Interior designing and decor bofya hapa chini uone picha zaidi pamoja na magari ambayo Wema anayamiliki... |
hongera zake wema ila hala hala ziwe za halali maana tunamwona sahz miss Jack Patrick anavohaha na mmewe na skendo za madawa ya kulevya, kajala nae ndo hvo!please Ladies tunapenda muishi vizuri lakn kwa vipato vya halali.mkumbuke dunian hakuna siri
ReplyDelete