KARIBU MENU YA MBWA, TAMADUNI ZA KICHINA
Hapa inaonekana ni moja wapo ya migahawa maalumu
inayoandaa chakula kwa kutumia nyama ya mbwa katika soko lililopo katika mji wa
Yulin City, jimbo la Guangxi ,china.... Unachagua mbwa mzima kwanye kibanda
anachinjwa and unatengenezewa mapocho pocho ujichane... makubwa, tusishangae soon menu hii ikiwa maarufu hapa
Tanzania maana kila kukicha population ya Wachina inaongezeka.Toba.
No comments:
Post a Comment