Wale
wakali toka Nigeria P-Square wameingia deal mpya na kampuni kubwa ya usambazaji
wa kazi za muziki duniani Universal
Music, Kwa Mkataba huo Universal watasimamia na kusambaza kazi zote za
P-square, hii itakusu CD zote za sasa na za zamani na pia any digital
productions, Kazi ipo jamaa wanakimbiza
No comments:
Post a Comment