Wednesday, November 2, 2011

BESDEI YA JOSEE MARA

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rafiki yangu, best man maridadi , mwasisi wa bendi ya mapacha  wa tatu Josee Mara Mtoto wa kimara, ambaye anatimiza miaka kadhaa,
Dar Base.com pamoja na wadau wake wanaungana na Josee , familia yake na wapenzi wote wa muziki hapa nchini kumtakia happy besdei to you……mkubwa uishi maisha mareeeefu yanye raha na amani tele.

No comments:

Post a Comment