Thursday, November 3, 2011

SALHA IZRAEL AONYESHA MWANGA.

Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael Atinga 30 Bora Ndani ya BEAUTY WITH A PURPOSE Ndanii MISS WORLD 2011 Nchini Uingereza ----- Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael akizungumza kuelezea moja ya vitu vya sanaa za uchongaji ambazo Nchi ya Tanzania inasifikia kuwa navyo na kuwa ni moja ya vivutia vya Utalii, wakti alipokuwa akishiriki katika shindano la Beauty with a Purpose lililofanyika wakati wa chakula chja hisani. Mrembo huyo aniwakilisha Tanzania katika Mashindano Makubwa ya Urembo Duniani yanayotaraji kufanyika Novemba 6, 2011 huu jijini London Uingereza. Kwa Habari Zaidi tembelea           www.facebook.com/vodacommisstanzania

2 comments:

  1. mhhh kanogaje mrembo wetu!!! hongera na hapo ulipofika na ninakutakia mafanikio zaidi huko mbele kwenye mpambano

    ReplyDelete
  2. Hongera Salha japo hukushinda.Tatizo letu Tanzania ni kwamba mashindano ya miss tanzania yamegubikwa na rushwa na upendeleo na badala yake tunapata warembo wasiokuwa na viwango vya kimataifa na ndio maana tunakuwa wasindikizaji kwenye miss world.

    Cris

    ReplyDelete