Monday, November 14, 2011

TAMASHA LA STR8 MUZIK Dodoma


Tamasha la STR8 MUZIK lilifanyika jumamosi mjini Dodoma katika viwanja vya royal village likupambwa na wasanii wakali kama Juma Natura, J MO, M Blue, Diamond na Nameles kutoka Kenya, Umati mkubwa ulihudhuria tamasha hilo ambalo waandaaji wanasema lilikuwa la kufana

Juma Nature alikuwa kivutio kikubwa nyimbo zake za zamani ziliwafanya wengi wakumbuke nyakati ambapo bongo fleva ilikuwa mfalme wa burudanii

                                                     Mansulii akiwa kazini

                                                       Diamond Platinum on move

                                                 Mr Blue kama kawa

                                                  Nameles kutoka kenya kazini

                                           Fans

No comments:

Post a Comment