Friday, January 13, 2012

HIKI NDICHO CHUMBA ALICHOJIFUNGUA BEYONCE, NI KAMA HOTEL YA NYOTA TANO


Mtandao wa TMZ umepata picha za chumba cha  VIP katika hospitali ya Lenox Hill NYC ambapo Beyonce alijifungua mtoto tarehe 7 mwezi huu, Chumba hicho kilikuwa na flat screen 4, Jiko, Kuta za mbao za mahogany, Makochi na Kitanda ambacho Jay Z angeweza kukitumia kupumzika au kulala kabisa, Taarifa zinaeleza kuwa chumba hicho hakikutengenezwa maalumu kwa ajili ya beyonce, lakini lengo lao kuu lilikuwa ni Beyonce kuwa mgonjwa wa Kwanza Kujifungua, Mambo ya pesa haya.

1 comment:

  1. addyvertise@yahoo.comJanuary 15, 2012 at 5:14 PM

    hongera Mdimu, marriage is a moment when a man looses his barchelor and a woman gets her master

    ReplyDelete