Tuesday, January 10, 2012

HENRY MDIMU AMEREMETA.

Henry Mdimu a.k.a Zee la Nyeti akionyeshana malavidavi na Mke wake
                                         
Henry Mdimu akitambulisha ndugu,jamaa na marafiki zake huku ubavu (mkewe) wake ukisikiliza kwa makini wakati wa utambulisho huo.
                                        
     kula mamsap wangu wa kufa na kuzikana


Mduara ukisongeshwa


Mwana FA na wadau.


darbase.com wanatoa pongezi za dhati kabisa kwa Henry Mdimu pamoja na Mkewe kwa Hatua waliyofikia katika maisha kuishi kama mke na mume, Henry mdimu ukiwa kama mdau wa burudani hapa Tanzania tunakupongeza sana kwa kuonyesha njia ambayo vijana wangine wanatakiwa kuifuata, Mungu awabariki sana na kuwapa maisha ya amani na mafanikio tele, Hongereni sana maarusi( Picha hisani kubwa ya Michuzi Matukio)