Wednesday, January 25, 2012

Kanu Nwanko na mkewe – mambo ya pesa hayo!!

 
Haya ni mambo ambayo yametokea mwishoni mwa mwaka jana wakati mke wa Kanu alipokuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa ya miaka 25 na graduation yake. Haya mapenzi inaonekana mpaka shetani anayaogopa.  Wawili hawa walioana mwaka 2004 na wamejaaliwa watoto wawili wa kiume. Iko siku labda na sisi mastaa wetu wa bongo watakuwa wakiishi maisha kama haya. All the best!!
Pata picha zaidi ya tukio lenyewe.







No comments:

Post a Comment