Saturday, January 7, 2012

ZIJUE KAULI ZENYE CHANGAMOTO KUTOKA KWA VIONGOZI WETU TZ... LOL

1. Mtakula nyasi ndege ya rais inunuliwe  ….Mr.. 

2. Graduates msio na kazi kafugeni kuku biashara inalipa sana  - Mah…

3. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora - Jjjjjjjjjjj 

 4. Acheni wivu wa kike  - Ms…….

5. Asieweza lipa nauli apige mbizi -  ..Ma..Ma..

6. Baada ya kutumia helcopter ya jeshi kwenda nayo kwao urambo "mlitaka nipande punda" – Kap….
7. Wabunge wa Dar wanafikiria kwa kutumia makalio  - Mas…..

8. Mnauliza mvua kwani mi waziri wa mvua  - Was…

9. Kila mwananchi atabeba msalaba wake  - Mk

No comments:

Post a Comment