Thursday, January 5, 2012

NICK CANNON MGONJWA.

Nick Cannon Mume wa Mwanamuziki Maarufu Duniani ameripotiwa kuwa mgonjwa mara baada ya kupata matatizo ya figo ( Mild Kidney failure) tukio hilo limeripotiwa kutokea wakati akiwa na familia yake mapumzikoni Aspen Colorado, USA jana na kusababishwa kukimbizwa hospitalini 
                                      
Mke wake Mariah Carey, akitumia mtandao wa twitwer alitoa taarifa hizo na kuomba mashabiki wao wamuombe kwa mungu ili aweze Nick aweze kupona na kurudia hali yake ya kawaida.
She writes:
This is us in the hospital - role reversal; Last year it was me attached to the machines (after having dembabies) and Nick was there with me through it, and now here we are.
We're trying to be as festive as possible under the circumstances but please keep Nick in your thoughts because this is very painful. They tried to kick me out of the hospital but here I am pon de bed with Mr. C.
We're doing OK but we're "straaaaaanded in Aspen". #DramaticDivaPlace (I know, we could be in a lot worse places) but the truth is as long as we're together, we're OK.
I'm not trying to make light out of the situation because it's a serious moment that's very tough on all of us so please keep us and our family in your prayers.
   

No comments:

Post a Comment