Sunday, April 15, 2012

KILI MUSIC AWARDS 2012, THE EVENT

Looking Fab, Waendeshaji wa hafla hii usiku huu ni Milard Ayoo na mwanadada Vanessa Mdee
Diamond in the house, wamependezaje
Masharabaro
Ali kiba akishukuru waliompigia kura
Amakweli ukishakuwa mchekeshaji kibongobongo lazima uchekeshe mpaka mavazi, Toka kundi la ze komedi Mpoki alikuwepo kuwavunja mbavu watazamaji

Umati ulikuwepo  picha zaidi bofya hapo chini


Mshindi wa tuzo ya Dancehall,Quen Darlin akiifurahia tuzo yake mara baada ya kukabidhiwa usiku huu kushoto ni Taji Liundi



king Majuto what a smile



Mshindi wa tuzo ya Wimbo Bora wa Zouk Rhumba,Ali Kibaa akikabidhiwa tuzo yake na Mwanadada Dina Marios wa Clouds Fm na Mkongwe Rainfred Masako wa ITV.

Wasanii wa Muziki wa Ragga kutoka jijini Arusha wafahamikao kwa jina la Arusha Gold wakitoa shukrani kwa wadau wao waliowapigia kura mpaka kupata ushindi huo, picha zote hisani ya michuzi matukio






No comments:

Post a Comment