kutembelea Tanzania kama
mtalii siku za karibuni na Rais Kikwete amemkaribisha k Rais Jakaya
Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakisalimiana na mchezaji soka nyota
wa Uingereza anayechezea Los angeles Galaxy ya Marekani, David Beckham,
walipokutana uwanja wa ndege wa Heathrow jijini London Jumatano, muda
mfupi kabla ya Rais Kikwete na Mama Salma kuelekea Washington DC kuhudhuria
mkutano wa G8 kwa mwaliko wa Rais Barak Obama wa Marekani. Bekham ameonesha nia
ya wa mikono miwili, akimhakikishia kwamba licha ya kuwa na mashabiki wengi
ambao watafurahi kumuona pia atafurahia vivutio kibao vya kitalii. Picha na
Amos Msanjila
No comments:
Post a Comment