Monday, May 14, 2012

MAN CITY MABINGWA WAPYA EPL 2012

Baada ya subira ya zaidi ya miaka 44, hatimaye manchester city wavishwa taji la ubingwa huo leo baada ya ushindi wa dakika za nyongeza dhidi ya QPR wa mabao 3-2, katika walio na furaha katika picha hii ni Samir Nasir mchezaji ambaye wakati anaihama Arsenal kuja Man city alisema ya kwamba anataka kubeba vikombe na sio kuwa msindikizaji, na kuzua malumbano makubwa na kocha wake wa zamani Arsene Wenger hongera Samir kwa Kutimiza ndoto yako...

No comments:

Post a Comment