Je mpenzi wako akikusaliti utampa nafasi nyingine ya kuwa pamoja nawe?
Utajibu nini kati ya haya hapa chini;
i.
Ndio, Kosa moja
lisiwe sababu ya kuvunjika kwa muhusiano mazuri ya mapenzi kati yenu.
ii. LABDA, lakini
mahusiano hayatokuwa kama ilivyokuwa mwanzo
iii.
Hapana, kwani
ukimpa nafasi hiyo uwezekano wa yeye kurudia tena ni mkubwa. Mpotezee tu.
No comments:
Post a Comment