Tuesday, December 20, 2011

AKON AWAINGIZA TUFACE, P-SUARE AND WIZKID LABEL YA KONVICT.

Mwanamuziki AKON mwenye makazi yake nchini marekani amewaingiza kundini wakali wa Nigeria, Tuface, P-Square and Wizkid katika Label yake ya Konvict Music Label kama wawakilishi wa Afrika, Akon aliweka wazi jambo hili hivi karibuni alipokuwa nchini Nigeria katika kikao na waandishi wa habari kilichofanyaka katika Klub maarufu inayomilikiwa na Jay Jay Okocha inayokwenda kwa jina la club 10.
                              

No comments:

Post a Comment