![]() |
| Hamis Kiiza akishangilia goli alilofunga dakika ya 44 |
![]() |
| Wachezaji wa Yanga wakishangilia goli lao la kwanza |
![]() |
| Mashabiki wa Yanga wakishangilia uwanjani leo |
![]() |
| Huu ni umati uliofurika leo uwanja wa Taifa Dar es Salaam |
Mpaka sasa kipindi cha pili, Yanga wanaongoza kwa goli 1 na Azam 0. goli la kwanza la Yanga limefungwa na Hamis Kiiza dakika ya 44 kipindi cha kwanza.




No comments:
Post a Comment