Thursday, January 26, 2012

KAMATA KAMATA YA BODABODA DSM


Hii ni pirika ya kamata kamata ya bodaboda maeneo ya posta hapo jana. Kwa sasa aina ya usafiri huo hautakiwi kufika maeneo ya posta.


 Vijana wa kazi wakiwa kazini kuhakikisha amri hiyo inafuatwa na madereva wa bodaboda


Japo bodaboda zimekuwa msaada sana kwa wakazi wa jiji kwa sasa lakini mipaka yake ni nje ya city centre na si vinginevyo kama uonavyo hapo juu polisi wakikamata madereva wa bodaboda waliokuwa wanakaidi agizo hilo.

No comments:

Post a Comment